Mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Bernard Morrison amesema kuwa wanaosema kuwa hata weza kufiti katika kikosi cha Mabingwa hao basi wasingeweza kumsaini, ila mpaka wameweza kumsajili basi wameona atafiti kwenye kikosi hiko ambacho kinaonekana kina wachezaji wengi wazuri.
The post Kama sitofiti ndani ya kikosi cha Simba nisinge sajiliwa – Morrison awajibu wanaosema hatofiti Simba (+Video) appeared first on Bongo5.com.
