Klabu ya Arsenal wamefanikiwa kutwaa kombe la #FACup  kwa ushindi wa goli -1 dhidi ya Chelsea, Arsenal wakifanikiwa kutwa kombe lao la 14 walilochukua jana usiku baada ya kuwafunga Chelsea goli 2-1 kwenye fainali.

Arsenal wanafanikiwa kuwa timu ya kwanza Uingereza kushinda taji hili mara nyingi zaidi, ushindi wa jana umewafanya kuwa timu pekee iliyotwaa taji hili mara 14 huku wakifuatiwa na Manchester United walifanikiwa kushinda mara 12 na Chelsea mara 8 huku Tottenham nao wakishinda mara 8 huku Liverpool wakishinda mara 7 akiwa na Aston Villa na Mnachester City mara akishinda mara  6 akifungana na baadhi ya timu ikiwemo Newcastle united.

Siku ya Jumamosi watacheza mechi ya Ngao ya Jamii Jumamosi ya Agosti 29, 2020 dhidi ya Liverpool.

The post Kama Man United ni wababe wa Premier league basi Arsenal ni wababe wa FA Cup, waweka rekodi mpya appeared first on Bongo5.com.