Muimbaji huyo ameandika ujumbe huu “Nawashukuru sana mashabiki zangu kwa kuendelea kuonyesha upendo kwa kusikiliza albamu yangu ya kwanza, “The Love Album” mpaka kufikisha streams 1,000,000 kwenye app ya Boomplay. Naishukuru pia timu yangu iliyokuwa nami kipindi chote toka nilipokuwa na wazo tu la kufanya albamu mpaka kuwa albamu iliyopata mafanikio mengi. Nawashukuru sana na nitaendelea kuwapa kazi bora,”

