“Tumechoka Taifa hili unalima Pamba unaisafirisha kama malighafi, halafu wakishatengeneza nguo wanazivaa wanakuletea mitumba wakati Pamba ni yako, sisi tunataka tukilima Pamba tunai-process hapa zile nguo tunawapelekea ikiwezekana tunazivaa kwanza”
The post JPM: Tumechoka Taifa hili unalima Pamba unaisafirisha, wakishatengeneza nguo wanazivaa wanakuletea mitumba wakati Pamba ni yako (+Video) appeared first on Bongo5.com.
