“Tulimtanguliza Mungu wakati wa Corona tukafunga siku 3, tukamshukuru siku 3 leo hakuna mwenye Corona hapa tunabanana tu hata Kitandani bananeni tu vizuri, ninasema hivyo kwa sababu aliyenitangulia amesema kampeni tutafanya Kitanda kwa Kitanda”

The post JPM: Tulimtanguliza Mungu wakati wa Corona tukafunga siku 3 leo hakuna mwenye Corona, unabanana tu hata Kitandani (+Video) appeared first on Bongo5.com.