“Nilipoingia madarakani ni Vijiji 3,000 tu vilikuwa na umeme, katika kipindi cha miaka mitano tumepeleka umeme zaidi ya Vijiji 9,402, kwahiyo vimebaki Vijiji 3000 nikafikiria nikichukua miaka 5 na CCM yangu vile vijiji vichache vitanishinda?
The post JPM: Nilipoingia madarakani ni Vijiji 3,000 vilikuwa na umeme, mapaka sasa tumepeleka umeme zaidi ya Vijiji 9,402 vimebaki 3000 (+Video) appeared first on Bongo5.com.
