“Mimi na Mama @SuluhuSamia tutafanya kampeni za ustaarabu sana, tutaheshimu watu wote na nina uhakika Watanzania wa vyama vyote watatupigia kura kwa sababu maendeleo hayana chama, tuendelee kushikamana, tumtangulize Mungu”
The post JPM: Mimi na Mama Samia tutafanya kampeni za ustaarabu sana, tutaheshimu watu wote (+Video) appeared first on Bongo5.com.
