Mh Spika nitashangaa sana Bunge linalokuja waache kukuchagua wewe kuwa Spika, watasema nakupigia kampeni, nina haki ya kukupigia kampeni, aliunda Tume ya Madini kwenda kuchunguza na tukabadilisha sheria na hiyo sheria ni the best kwenye nchi hii”

The post JPM: Mh Spika nitashangaa sana Bunge linalokuja waache kukuchagua wewe kuwa Spika, watasema nakupigia kampeni (+Video) appeared first on Bongo5.com.