Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua John Shibuda kugombea Urais wa Tanzania na mgombea mwenza, Hassan Kijogoo kugombea nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania kupitia Chama cha ADA-TADEA