Leo mtanange wakushindana kumtuza pesa bibi harusi kati ya Wasizwa ambao wamekuoa @_esmaplatnumz pamoja na @diamondplatnumz .

 

Mchuano ulikuwa mkali sana kati ya familia hizo mbili ingawa kulikuwa na changamoto za kubishana.

Hebu angalia mtanange halafu utoe maksi zako.

Kuangalia matukio yote tembelea YouTube ya Bongo5 

Written and edited by @yasiningitu

The post Jeuri ya pesa kati Diamond na familia ya Msizwa, ni mashindano (Video) appeared first on Bongo5.com.