Msanii wa filamu @ireneuwoya8 amedai amejipanga kuachia ngoma yake akiwa na rapa @rosa_ree .

Amesema hayo Ijumaa hii akizungumza na waandishi wa habari juu ya clips ambayo alikuwa anaonekana akiimba.