Kuelekea kuhitimisha Wiki Ya Mwananchi hii leo siku ya Jumapili Agosti 30, Kocha wa Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga amedai kuwa hawatakuwa tayari kuona wanapoteza mchezo wao wa leo dhidi ya wageni wao Aigle Noir mchezo ambao unamaana kubwa sana kwao hasa kutambulisha Wachezaji wao wapya, Jezi na kuhitimisha Wiki yao.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

The post Hatupo tayari kitumbua kukitia mchanga Vs Aigle Noir – Kocha wa Yanga (+Video) appeared first on Bongo5.com.