Mshiriki wa shindano la BSS aliyetikisa katika mitandao ya kijamii hasa kutokana na uwezo wake wa kuimba na kupiga gita, Hamisi ameimba mbele ya Waziri Dkt. Mwakyembe na Madam Rita katika uzinduzi wa msimu mpya wa 11 wa Bongo Star Search. Akionyesha umahiri wake wa kuimba Warizi Mwakyembe, Madam Rita na wageni wengine waalikwa walijikuta wakimpigia makofi kijana huyo.

The post Hamisi wa BSS ni moto, Waziri Mwakyembe aishia kumpigia makofi (+Video)  appeared first on Bongo5.com.