Msemaji wa mabingwa wa Ligi kuu bara Simba SC, Haji Manara ameshindwa kutoa kauli yoyote juu ya ushindi aliopata mchezaji wao moya Bernard Morrison kwenyebkesi ikiyokuwa inamkabiri dhidi ya klabu yake ya Zamani Yanga.

Read More: Nafasi za Ajira Serikalini

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Manara amesema kwa sasa mashabiki wampe muda kwaku ni jambo la busara kukaa kimya ukiwa na furaha sana au hasira ndio maan anataka watu wameache kwa sasa.

“Katika Siasa na Propaganda tumefundishwa ukiwa na furaha sana au hasira sana usiseme kitu chochote, jipe muda japo kidogo tu, baadae sema ulichonacho!!! I’ll be back later INSHA’ALLAH” ameandika Manara.