Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aalivyowasili hii leo Agosti 6, 2020, kwenye Ofisi za NEC Jijini Dodoma kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara nyingine tena.

The post Fuatilia matangaza ya moja kwa moja kutoka Dodoma Rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea Urais 2020 (+Video) appeared first on Bongo5.com.