Msanii wa muziki kutoka Kenya ambaye alitamba na ngoma yake ya #TUTAWEZANA @femi_one yupo Tanzania kwa ajili ya show yake usiku wa leo pale Kidimbwi.

Akiongea na Waandishi wa habari amefunguka mengi sana kuwakubali wasanii wa kike kama @officialnandy @gigy_money_og @mimi_mvrs11 @vanessamdee @rosa_ree na @fridaamaniofficial

Mbali na hilo ameeleza kuwa anatamani sana kufanyta Collabo na @harmonize_tz kwa sababu anapenda uandishi wake.

Pia Femi One amewaasa wasanii kutoka TZ kuacha kualalamika kulogana badala yake kazi ya mtu ndio inaonekana.

The post Femi one kutoka Kenya, Wasanii wa Tanzania wanalogana, natamani kufanya kazi na Harmonize (+Video) appeared first on Bongo5.com.