SIKU tuliyokuwa tunaingoja hatimaye imewadia sasa Ligi ya Europa imerudi! Mashabiki wa soka ulimwenguni watashuhudia mashindano ya hadhi ya kidunia soka la Ulaya ikiwa ni robo fainali ya Europa League.

Michuano ya Europa League ililazimika kusimama Machi 12 kutokana na janga la Virusi vya Corona, na mtiririko wa ratiba ya robo fainali tayari imeshapangwa mwezi Agosti 5 na 6. siku ya Jumatano, moja ya mechi kubwa kati ya chache inayovutia ni kati ya Shakhtar Donetsk na Wolfburg.
Katika mchezo wa kwanza, Shakhtar ilishinda 2-1, lakini hiyo haimaaanishi kwamba moja kwa moja wamependelewa kwenye ratiba ya sasa. Wolfburg wametajwa kukutana na Shakhtar kutafuta nafasi yao ya kufika hatua ya robo fainali kwa mara ya nne katika Michuano ya Ulaya tangu msimu wa 2009/2010. Odds za mechi hii Shakhtar - Wolfburg unaweza kuziangalia hapa.

Kama ilivyo kwenye ratiba ya Manchester United - LASK, mechi itachezwa siku ya Jumatano usiku, LASK watatakiwa waoneshe miujiza halisi kwaajili ya kupindua matokeo ya 5-0 katika dimba la Old Trafford.lakini kiukweli LASK walitajwa kupoteza mvuto katika hatua ya makundi na walishinda sehemu ya kwanza kwenye kundi D,wakati walipowatoa Alkmaar kwa jumla ya magoli 3:1 katika hatua ya mwisho ya ratiba.

Kuna mchezo mwingine wa kuvutia kati ya FC Copenhagen na Instanbul's Basaksehir. mchezo wa kwanza matokeo yalikuwa 1:0 Basaksehir wakiwa katika uwanja wa nyumbani Fatih Terim Stadium jijini Instanbul. Hii itakuwa ni mechi ya pili katika historia ya vilabu vyote, na kwenye vichwa vyao wakiwa hawana uhakika wa matokeo ya mwisho, Hata odds zitakuwa nzuri kwa mechi hii.

Michezo mingi katika ratiba ya Europa League tayari imekwisha chezwa kasoro michezo miwili haikuchezwa kutokana na kuzuka kwa janga la Corona. Ni mechi kati ya Inter na Getafe, na mchezo mwingine wa kuvutia ni wa timu ya Italia - Hispania kati ya Roma na Seville utakaochezwa siku ya (Alhamisi). Kwa kuzingatia hili UEFA wameamua kwamba badala ya kwenda na utaratibu wa kucheza nyumbani na ugenini, watacheza mchezo mmoja pekee kwa hiyo hakutakuwa na nafasi ya kupigiana hesabu.

Kama unataka kuonesha utaalamu wako wa kubashiri katika soka, robo fainali ya Europa League Merididanbet ndiyo sehemu sahihi kwa ajili yako!
Kama unaamini katika kupindua matokeo kwenye timu unazoshabikia, basi faidika na na chaguo la Live betting. Pia unaweza ukajaribu katika ofa mbalimbali. Shusha App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri ukiwa upo huru nyumbani kwako. Pia unaweza ukaweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka kamwe huwezi kupoteza katika tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna bonasi bonasi ya 100% inakusubiri wewe.