“Nimesikia msamiati wa Kazi na Bata, sasa sijui wanafanya kazi wakiwa na Bata au wanafanya kazi wakinja Bata au wanafanya kazi wanalala na Bata au wanafanya kazi wanatumikisha Bata hilo nawaachia nyie” – Dkt. Bashiru Ally – Katibu Mkuu wa CCM

The post Dkt. Bashiru: Nimesikia Kazi na Bata, sasa sijui wanafanya kazi wakiwa na Bata au wanachinja Bata au wanalala na Bata (+Video) appeared first on Bongo5.com.