Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni CEO wa Wasafi media gruop Diamond Platnumz ameachia wimbo maalumu kwa ajili ya klabu ya Simba, akiongea ameongeza kuwa amefanya hivyo kama kazi lakini pia yeye ni shbaiki mkubwa wa Simba ndio maana hakuona shida ktunga wimbo huo.

 

The post Diamond Platnumz ameachia wimbo maalumu kwa ajili ya timu ya Simba SC (+Audio) appeared first on Bongo5.com.