Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz alivyotua uwanja wa Benjamin William Mkapa na Helkopta kutoa burudani kwenye mchezo wa klabu ya Simba dhidi ya Vitalo ikiwa ni Simba day.
The post Diamond alivyotua uwanja wa taifa kwenye mchezo wa Simba na Helkopta (+Video) appeared first on Bongo5.com.