Meneja wa WCB na @diamondplatnumz ameonyesha tabasamu lake la kwanza toka afiwe na mke wake baada ya kupokea matokeo ya Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mashariki.
Alhamisi hii Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilimtangaza Hamisi Shabani Taletale maarufu kama @babutale kuwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo.
The post Chozi la furaha la Babu Tale akipokea matokeo ya Ubunge (Video) appeared first on Bongo5.com.