Chid Benz alikuwepo kumsindikiza Tony Rashid kabla na baada ya ushindi dhidi Yamikana Mkandawire wa Malawi. Chid alishusha burudani ya kibao chake maarufu cha ‘Dar es Salaam Stand up’

The post Chid Benz apanda Ulingoni, Bondia wake ampiga mtu mpaka ashindwa kuamka (+Video) appeared first on Bongo5.com.