CHADEMA kimemteua Lazaro Nyalandu kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Suzan Lyimo kugombea Jimbo la Kinondoni, Lucy Magereli Kigamboni, Salome Makamba Jimbo la Shinyanga Mjini, Gibson Ole Meiseyeki kugombea Jimbo la Arumeru Magharibi, na Aboubakar Mashambo Jimbo la Bumbuli


Majina hayo ya Wabunge walioteuliwa katika awamu ya pili, yametolewa  Agosti 12, 2020, kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter wa chama hicho.

Tazama hapa chini orodha ya majina ya wagombea wa Ubunge walioteuliwa.