Leo August 25, 2020 Mwenyekiti wa CCM na Mgombea Urais wa CCM Rais. Dkt. John Pombe Magufuli anarudisha fomu ya kugombea Urais Ofisi za NEC Dodoma