BREAKING NEWS...MIRAJI HUSSEIN MOHAMED ACHUKUA FOMU YA UBUNGE KATIKA OFISI ZA NEC JIMBO LA LUPA
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg MIRAJI HUSSEIN MOHAMED leo achukua fomu ya Ubunge katika ofisi za NEC jimbo la LUPA ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika october 2020