Rais Magufuli amemteua Joseph Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Mkoani Dodoma akichukua nafasi ya Godwin Kunambi, kabla ya uteuzi huo Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Ardhi, Mipango Miji na Maliasili wa Jiji la Dodoma.