Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa ametangaza kujiuzulu kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo.

SIMBA SC KUANZA MAZOEZI YA PAMOJA JUMATANO KUJIANDAA KUMALIZIA ...

Senzo ameandika ujumbe wa kujiuzulu kwake kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitter na kuwashukuru Wanamsimbazi.

”A special thank you message to @SimbaSCTanzania leadership for providing me the opportunity to lead this great club. I regrettably have tendered my resignation from the club with immediate effect. Within a short space of time , a lot has been achieved. Asanteni Sana wana Simba.” – Senzo Mazingisa

Kujiuzulu kwa Afisa huyo wa Mabingwa wa nchi kumekuja ghafla tu baada ya kupita siku moja tangu kutambulishwa rasmi kwa mchezaji Bernard Morrison ambaye amekuwa na mgogori wa kimkataba na timu ya Wananchi Yanga.

The post Boss Simba atangaza kujiuzulu ghafla, je kuna uhusiano na usajili wa Morrison ? appeared first on Bongo5.com.