Jumanne hii ilikuwa ni birthday ya meneja wa muimbaji @officialnandy , @mokobiashara ambapo wadau mbalimbali, ndugu, jamaa na marafiki walihudhuria party hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya ofisi za NANDY, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

Mume mratariwa wa @officialnandy , @billnass alikuwa mmoja ya waliohudhuria party hiyo na kuzungumza mawili matatu.

Nenga alimchimba mkwara Moko kumtaka aoe ili aweze kufanya kazi na mke wake mtarajiwa kwa madai anaweza kujifanya meneja kumbe akawa kuna mambo mengine anavizia.