Haya ndio yalikuwa mapokezi ya @officialalikiba Kigoma akiongozana na wasanii mbalimbali akiwemo @billnass @marioo_tz @officialabdukibaa @tommyflavour na wengine walivyotua kwa ajili ya Show ya King is Coming home siku ya Ijumaa.

The post Balaa la Alikiba Kigoma usipime, asimamisha shughuli kwa masaa kadhaa (+Video) appeared first on Bongo5.com.