Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na Diwani wa kata ya Mwanga mkoani Kigoma @officialbabalevo ameamua kumpigia debe msanii mwenzake @officialshilole na kudai kuwa atafanya kila njia aolewa na mchezaji mpya wa Yanga Corlinhos na kusema watazaa Handsome boy na ataitwa BABALINHO.

The post Babalevo ampigia debe Shilole kuolewa na Corlinhos wa Yanga, Mtoto ataitwa Babalinhos (+Video) appeared first on Bongo5.com.