CGP - Suleiman Mzee mapema Jana amempandisha cheo Askari Na. 4162 Wdrs Nezia Maingu wa Gereza Ludewa kuwa Koplo wa Magereza kutokana na kujitolea kukarabati nyumba ya Jeshi anayoishi kwa fedha zake binafsi kitendo ambacho ni Uzalendo na moyo wa kujitolea Jeshini.