Moja ya Show kubwa kufanyika katika kipindi hiki baada ya Corona kupungua Tanzania ni hii ya CEO wa @kingsmusicrecords @officialalikiba Katika show hiyo ambayo ikifanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara @officialalikiba ameweza kufanya show kubwa sana.

Baada ya Show hiyo @officialalikiba anatarajiwa kurejea DSM mapema leo kwani kuna mchezo wa #NIFUATE yaani Teamkiba na TeamSamatta ambao utachezwa uwanja wa Mkapa. Pia Tatehe 14/8/2020 anatarajiwa kuelekea Kigoma kwa ajili ya show yake.

 

The post Alikiba aweka historia Mtwara afanya show ya kiutu uzima zaidi, taa zazimwa mashabiki watumia simu zao (+Video) appeared first on Bongo5.com.