Baada ya @officialalikiba kupanda jukwaani mashabiki walimvamia na kumkumbatia kwa furaha @officialalikiba abaki ameduwaa

Tupo #live kupitia akaunti yetu ya YouTube ya Bongo5 hakikisha unafuatilia tukio zima kutoka Kigoma.

The post Alikiba aweka historia Kigoma, afanya show ya kiana yake (+Video) appeared first on Bongo5.com.