Baada ya @officialalikiba kupanda jukwaani mashabiki walimvamia na kumkumbatia kwa furaha @officialalikiba abaki ameduwaa
Tupo #live kupitia akaunti yetu ya YouTube ya Bongo5 hakikisha unafuatilia tukio zima kutoka Kigoma.
The post Alikiba aliavyovamiwa na mashabiki wake na kumkumbatia kwa furaha Kigoma (+Video) appeared first on Bongo5.com.

