Mtangazaji wa clouds fm Adam Mchomvu amesema sababu za kumpiga mtama stejini mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha Ni kutokana na kumuita Adamu mabangi

Amesema kitendo hicho kimemuudhi kwa kuwa KAULI hiyo ameitoa kwenye tamasha ambalo linaangaliwa na watu wengi akiwemo Rais Magufuli, hivyo bado hajamalizana na Mbasha kwa kuwa atamfuata na kumalizana naye bila watu kuon