Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Katika lebo ya muziki ya @kingsmusicrecords iliyopo chini ya @officialalikiba @officialabdukibaa amezungumzia ukaribu wake na @mbosso_ kutoka WCB chini ya @diamondplatnumz

@officialabdukibaa amesema kuwa Collabo yake na @mbosso_ itaushangaza ulimwengu siku wakiamua kufanya ngoma ya pamoja kwa yeye na @mbosso_ hawana tatizo na ni rafiki yake wa muda.

@officialabdukibaa ameongeza kuwa mara nyingi wanakutanaga kwa Prouducer @moccogenius na wasanii wenzake huwaangalia na kusubiri kitu gani kitatokea lakini mwisho wa siku hupiga stori na kucheka