“Bunge la 11 la Mheshimiwa Ndugai limekwisha hakuna hata muswada mmoja wa mbunge binafsi sio kwamba watu hawakupeleka walipeleka na ikazuiliwa isijadiliwe na hata kamati zilizoundwa hazaijawahi kutoa matokeo na hata kuiwajibisha serikali binafsi naskia aibu kuwa nimetumikia bunge la kumi na Moja”amesema Zitto.
Ikumbukwe kuwa bunge la Kumi na Moja lilioonhozwa na Spika Job Ndugai likifungwa rasmi Juni 16,2020 na rais John Magufuli baada ya miaka mitano.