Zitto Kabwe Aguswa na Umati Uliojitokeza Kumpokea Tundu Lissu "Ni Ishara ya Mapenzi Makubwa"
"Tundu Lissu, Umati uliokupokea ni ishara ya mapenzi makubwa kwako na shukrani kwa Mola. Sisi Viongozi wa @actwazalendo_official na wenzako wa #Chadema tunahikikisha tutakuwa na ushirikiano madhubuti ili kuleta MABADILIKO. Kurejea kwako ni chachu. Ni Furaha kubwa kwetu." @zittokabwe