Mwanzilishi wa wazo la kutafuta banda la wasanii katika maonyesho ya Sabasaba ambapo ni kwa mara ya kwanza wasanii wanapata banda na kupelekea bidhaa zao katika maonyesho ya Sabasaba @zamaradimketema akieleza kwanini aliamua kufanya hivo.

Mbali na hilo @zamaradimketema anaeleza kuhusu Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuwatembelea katika banda lao walituma mwaliko au ilikuwaje.

“Nataka mwakani tufanye kitu kikubwa zaidi ya hiki ambacho tumekifanya mwaka huu, malengo yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sanaa maana wasanii wameitikia “ – @zamaradimketema akieleza.

The post Zamaradi: Wazo la wasanii kupeleka bidhaa sabasaba la kwangu na lengo limefanikiwa kwa asilimia kubwa (+Video) appeared first on Bongo5.com.