Klabu ya Yanga  imemfuta kazi kocha wake EymaelLuc na kuhakikisha anaondoka haraka nchini kutokana na kauli zisizo za kiungwana na kibaguzi alizozitoa na kusambaa katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari.