Watu wawili wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Kyela Express likitokea Dar kwenda Kyela kupinduka usiku wa kuamkia leo njia panda ya Lutengano katika Kijiji cha Ushirika barabara kuu ya Mbeya Malawi.

The post Watu wawili wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Kyela Express likitokea Dar kwenda Kyela kupinduka appeared first on Bongo5.com.