Wanakijiji wa Lupaso na vijiji jirani wanaendelea na usafi nyumbani kwao na marehemu Rais wa Awamu ya tatu Benjemin Mkapa kwaajili ya kuweka mazingira vizuri, tayari kwa kupokea wageni mbalimbali wakaofika kwaajili ya shughuli za kuaga za mazishi.

Chanzo Eatv.tv

The post Wanakijiji wa Lupaso na vijiji jirani wakiendelea na usafi nyumbani kwa hayati Benjamin Mkapa appeared first on Bongo5.com.