Nilikuwa napata taarifa leo, kwamba waliochukua fomu ya kuwania nafasi mbalimbali za ubunge na uwakilishi nchi nzima kupitia chama cha Mapinduzi walikuwa elfu 10367

Na katika hao ambao wamekamilisha taratibu zote na kurudisha fomu zao zikiwa kamili ni elfu 10321 kwa hiyo wale ambao hawakuzirudisha ni 46.

The post Waliochukua fomu CCM ni 10367 – Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.