Bongo5TV imefanya mahojiano na baadhi ya wananchi wa Dar Es Salaam kuhusu watia nia wa Ubunge na mtazamo wao kuelekea Uchaguzi Mkuu October mwaka huu.

Baadhi ya wakazi wa Tabata Segerea wamedai licha ya @baba_keagan kutangaza nia Kigamboni lakini wao walikuwa wanamtaka Mkuu wa Mkoa huyo wa zamani wa Dar Es Salaam.

The post Wakazi wa Segerea wamtaka Makonda Ubunge, wafunguka kuhusu kero zao (Video) appeared first on Bongo5.com.