Viongozi wa kitaifa wakiwa kwenye uwanja wa Uhuru Dar es salaam, ambapo Mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya tatu marehemu Benjamin Mkapa unaagwa kitaifa kabla ya kusafirishw akwenda Kijijini Lupaso Masasi kwaajili ya mazishi.

The post Viongozi wa kitaifa wakiwa kwenye uwanja wa Uhuru kwa ajili ya tukio la kuagwa Mkapa kitaifa (+Video) appeared first on Bongo5.com.