Weekend hii Vijana na uongozi Forum walifanya kongamano kubwa kwaajili ya kuwaandaa vijana wapya katika nafasi mbalimbali za uongozi. Wadau hao wamedai vijana wengi wanafanya kazi kubwa ila wanasumbuliwa na mihemko.

The post Vijana na Uongozi Forum: Vijana waache kuongoza kwa mihemko, watoa tips kwa vijana wanaosaka uongozi (Video) appeared first on Bongo5.com.