Msanii ghali wa muziki, Diamond Platnumz ametangaza vitu alivyovifanya kwa siri makao Makuu ya Tanzania Dodoma.

Muimbaji huyo ambaye yupo Dodoma kwaajili ya Mkutano Mkuu wa CCM uliomalizika hapo jana, akiwa kwenye appearance ya show ya Uchumi wa Kati Celebrations alisema kuna mambo mengi ya kiuwekezaji ameshaanza kuyafanya Dodoma huku akieleza moja wapo ni manunuzi ya nyumbali mbili za kifahari.

The post Video:Nimenunua nyumba mbili Dodoma – Diamond appeared first on Bongo5.com.