VIDEO: Mtoto wa Mzee Mkapa Alivyowasili Nyumbani Baada ya Kifo cha baba yake
Kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa viongozi na watu mbalimbali wameendelea kufika nyumbani kwake na kusaini kitabu cha maombolezo huku mtoto wake akiwa amewasili mapema na kukutana na mama yake.