”Naibu Katibu Mkuu Kijazi, sikumteua kwasababu kaka yake ni Katibu Mkuu Kiongozi, na hili nataka niliweke wazi undugu ni pembeni, tena bahati mbaya hata Katibu Mkuu Kijazi siku muuliza amefanya kazi TANAP, vizuri tu akiwa mtendaji wa TANAPA kwa miaka mingi, ameweka rekodi yake vizuri.”-Rais Magufuli

”Na ndiyo maana nikasema kwasababu imepatikana fursa kwenye Wizara hii, akawe Naibu Katibu Mkuu lakini pia ataendelea kufanya kazi za TANAPA, ni kwasababu sikupata waku ‘replace’, sio kwamba nimempa vyeo viwili lakini najua atakapokuwa anafanya Unaibu Katibu Mkuu na TANAPA pia akaisimamie ili kusudi tupate production nzuri.” Rais Magufuli

The post Video: Dkt Kijazi, sikumteua kwasababu kaka yake ni Katibu Mkuu Kiongozi – Rais Magufuli appeared first on Bongo5.com.