Msanii na mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @mbdog_master ametangaza ujio wake mpya kwenye muziki tena

Akidhihirisha hilo ameweza kuipa baadhi ya ngoma zake ambazo ziliwahi kuvuma sana kipindi cha nyuma kama Latifah na nyinginezo.

The post Ujio wa Mb Dog, shuhudia dakika 15 akionyesha uwezo wake kwa kuimba (+Video) appeared first on Bongo5.com.